Tafuta

Frame ya Biashara inapangishwa Mwananyamala, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000/month

Maelezo

🏢 FREMU INAPANGISHWA – MWANANYAMALA 📍

💰 Kodi: TSh 1,000,000 kwa mwezi

✅ Eneo zuri kwa biashara
✅ Inafaa kwa Boutique, Salon, Pharmacy, Office, Cosmetics na biashara nyingine nyingi.
✅ Mazingira yenye wateja na biashara zinazokua kwa kasi.

📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga kuiona.

💵 Service Charge: TSh 30,000

🔥 Wahi sasa kabla haijachukuliwa!