Tafuta

Frame ya Biashara inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sh. 550,000/month

Maelezo

📍INAPANGHISHWA FREM 🔥🔥SINZA

💰Kodi 550,000 kwa mwezi
🗓Malipo miezi 6
💼Service charge 30,000

✍Eneo zuri la biashara
✍Mzunguko mzuri wa watu na magari
👀Inaonekana vizuri rahisi kufikika
✅Inafaa kwa biashara , salom boutique, duka, ofisI, ndogo ,wakala n.k

Wasiliana nami 0685303121