Tafuta

Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 400,000/month

Maelezo

📢 FREM INAPANGISHWA – SINZA 📢

Unatafuta sehemu bora kwa ajili ya biashara au ofisi? Hii hapa fursa yako!

✨ Frem nzuri kabisa inapangishwa maeneo ya Sinza
💰 Bei: 400,000/= kwa mwezi
⚡ Umeme unajitegemea
🚗 Parking space ipo
🏢 Inafaa kwa ofisi au biashara yoyote
📍 Ipo sehemu nzuri yenye mazingira rafiki kwa biashara

💵 Service Charge: 30,000/=

📞 Wahi sasa! Piga simu: 0787093748

🔥 Usikose nafasi hii ya kipekee!

Matangazo yanayofanana Sinza, Dar Es Salaam