Tafuta

Frame ya Biashara inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 400,000/month

Maelezo

🚨 FREMU INAPANGISHWA – SINZA 🚨

📍 Eneo zuri, linatizama barabara na linafaa kwa biashara mbalimbali.
💰 Kodi: TSh 400,000 kwa mwezi

✅ Inafaa kwa:
✨ Salon
✨ Boutique
✨ Office
✨ Cosmetics
✨ Biashara yoyote

📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga kuiona.
🔥 Wahi sasa, fremu za Sinza hupangishwa haraka!