Frame ya Biashara inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
Huduma na Sifa
Maelezo
🏢 FREM KUBWA YA BIASHARA INAPANGISHWA
✅ Inatazama lami
✅ Eneo kubwa sana
✅ Inafaa kwa biashara mbalimbali
✅ Location yenye fursa kubwa ya biashara
Inafaa kwa:
🏥 Pharmacy
🛒 Supermarket
🍜 Restaurant
📚 Stationery kubwa
🏢 Ofisi
🥫 Duka la jumla na rejareja
💅 Saluni, kucha, kusuka na makeup studio
📍 Eneo lina potential kubwa kutokana na location yake.
👀 Service Cost ya kuonyesha eneo: TZS 30,000
📞
PrimeSpace TZ
Frem Bora, Deal Safi.
Wawekezaji na wafanyabiashara mnakaribishwa.
#PrimeSpaceTZ #FremYaBiashara #OfficeSpace #CommercialProperty #DarEsSalaam















