Frame ya Biashara inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
🏢 FREMU INAPANGISHWA – Sinza
💰 Bei: Tsh 1,300,000 kwa mwezi
🗄️ Ina store (ghala la kuhifadhia mizigo)
📍 Eneo zuri, linafikika kwa urahisi
🚗 Karibu na barabara kuu
⚡ Umeme unapatikana
💼 Inafaa kwa biashara mbalimbali
📞 Wasiliana: 0678512666
💸 Service charge: 30,000















