Tafuta

Shamba linauzwa Mikese Koo, Morogoro (30 acre)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
Mikese, Morogoro
2 months ago
Sh. 55,000,000

Aina

Shamba

Farm for sale in Mikese

Ukubwa

30 ACRE

Barabara ya Karibu

7km

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara
Site Visit Bure
Livestock Barns
Farmhouse

Maelezo

๐ŸŒฟ ๐—ฆ๐—›๐—”๐— ๐—•๐—” ๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—”๐—จ๐—ญ๐—ช๐—” โ€“ MIKESE KOO, MOROGORO ๐ŸŒฟ

๐—™๐˜‚๐—ฟ๐˜€๐—ฎ ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—บ๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐—ด๐—ฎ๐—ท๐—ถ.!!

๐Ÿ“๐— ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—น๐—ถ: Mikese Koo, Morogoro.
๐Ÿ›ฃ๏ธ ๐—จ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ถ: Kilomita 7 kutoka Barabara ya Morogoroโ€“Dar es Salaam, upande wa kulia ukitokea Morogoro.
๐Ÿ“ ๐—จ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ: Hekari 30.
๐Ÿ’ฐ ๐—•๐—ฒ๐—ถ: TSh Milioni 55.

๐—ฆ๐—œ๐—™๐—” ๐—ญ๐—” ๐—ฆ๐—›๐—”๐— ๐—•๐—”:

โœ… Udongo wenye rutuba unaofaa kwa kilimo cha mazao mbalimbali ya chakula na biashara.
โœ… Eneo kubwa linalofaa kwa ufugaji wa kisasa wa ng'ombe, mbuzi, kondoo na mifugo mingine.
โœ… Lina mabanda ya mifugo pamoja na nyumba ya shambani, hivyo unaweza kuanza shughuli zako mara moja.
โœ… Barabara zinafikika kwa urahisi, kurahisisha usafirishaji wa mazao na mifugo.
โœ… Fursa nzuri kwa kilimo cha kisasa, ufugaji wa kibiashara na uwekezaji wa muda mrefu.

๐Ÿ“ž ๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ na kupanga ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฎ ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ: 0678-517 158/ 0785-517 158

๐Ÿ’ต ๐—”๐—ฑ๐—ฎ ya kuoneshwa shamba ni ๐—ง๐˜€๐—ต.50,000/= (hutumika kwa huduma ya kutembelea eneo).

๐——๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐— ๐˜€๐—ต๐—ถ๐˜‚ โ€“ Tunakuunganisha na fursa bora za mashamba, viwanja na nyumba ndani na nje ya Morogoro.

Matangazo mengine Mikese, Morogoro