Tafuta

Shamba linauzwa Mkata, Tanga (500 acre)

ID: 260906674LG
Mkata, Tanga
20 hours ago
Sh. 150,000,000

Aina

Shamba

Farm for sale in Mkata

Ukubwa

500 ACRE

Barabara ya Karibu

1km — Iringa Road

Huduma na Sifa

Maelezo

Habari wadau shamba linauzwa zipo ekari 500 shamba lipo mkoa wa morogoro wilayani mvomero kijiji mkata barabara kuu ya iringa road shamba halijasafishwa shamba hili lipo kilometa 1 kutoka barabara kubwa ya iringa road au mikumi shamba hili limepimwa Lina hati kabisa ya wizara hivyo halina shida yoyote biashara IPO wazi njoo ujipatie shamba hili Kwa milioni 150 halina maji Lina faaa Kwa kilimo na ufugaji Kwa aliyetayari

Mashamba | Viwanja | Nyumba

dalali_mashamba

@dalali_mashamba

View Listings

Matangazo mengine Mkata, Tanga

Shamba linauzwa Mkata, Tanga (500 acre)
1

Sh. 150,000,000

For Sale500 acre
Mkata, Tanga
Shamba linauzwa Mkata, Tanga (500 acre)
1

Sh. 150,000,000

For Sale500 acre
Mkata, Tanga
Shamba linauzwa Mkata, Tanga (500 acre)
1

Sh. 150,000,000

For Sale500 acre
Mkata, Tanga
Shamba linauzwa Mkata, Tanga (300 acre)
4

Sh. 120,000/acre

For Sale300 acre
Mkata, Tanga
Shamba linauzwa Mkata, Tanga (300 acre)
4

Sh. 120,000/acre

For Sale300 acre
Mkata, Tanga
Mashamba | Viwanja | Nyumba