Tafuta

Duka linapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam

Sh. 350,000/month

Huduma na Sifa

Service Charge30000

Maelezo

FREM INAPANGISHWA – KIJITONYAMA 🔥
Frem nzuri yenye muonekano wa kisasa kabisa inapangishwa Kijitonyama, ipo eneo zuri lenye mazingira rafiki kwa biashara na wateja wa uhakika.
💰 Bei: 350,000/= kwa mwezi
📍 Location: Kijitonyama
🏢 Frem ya kisasa, inafaa kwa biashara yoyote
🧾 Service charge: 30,000/=
Chukua nafasi hii sasa uanze au uboreshe biashara yako!
📞 Call: 0787093748

Matangazo mengine Kijitonyama, Dar Es Salaam