Duka linapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
FREM INAPANGISHWA 📍KIJITONYAMA
Kodi kwa mwezi 700,000
✍Malipo miezi 6
Service Charge : 30K
📍Eneo Kijitonyama
✅Inatizama Lami
✅Umeme na maji mita yako
✅Eneo lenye mzunguko mkubwa wa watu
✅Inafaa kwa biashara mbalimbali
✅Pamechangamka sanaa
✍wahi fursa isije chukuliwa
Piga Simu 0685303121















