Tafuta

Duka linapangishwa Magomeni Kagera, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 400,000/month

Huduma na Sifa

Umeme
Luku Inajitegemea
Parking Space
Karibu na Barabara ya Lami
Service Charge

Maelezo

🔥 FREM INAPANGISHWA – MAGOMENI KAGERA 🔥

Unatafuta frem ya nguvu, inayoonekana na yenye mvuto kwa wateja? Hii hapa nafasi sahihi kabisa!

✨ Frem kubwa na yenye nafasi ya kutosha
✨ Inatazama lami – mwonekano wa moja kwa moja kwa wateja
✨ Umeme wa kujitegemea
✨ Parking space ipo kwa urahisi wa wateja
✨ Eneo zuri sana lenye mzunguko mkubwa wa watu

đź’° Bei: 400,000/= kwa mwezi
đź’Ľ Service Charge: 30,000/=

📞 Call: 0787093748

🚀 Wale wanaotafuta frem ya kugusa lami na kuingiza pesa fasta – hii ndiyo chaguo sahihi!

Matangazo yanayofanana Magomeni, Dar Es Salaam