Duka linapangishwa Makumbusho, Dar Es Salaam


Maelezo
📢 FREM INAPANGISHWA – MAKUMBUSHO 📢
💰 Bei: TZS 450,000/= kwa mwezi
Unatafuta frem yenye eneo zuri kwa biashara yako? Hii ndiyo fursa sahihi!
✅ Frem nzuri sana
✅ Ipo location nzuri ya biashara
✅ Mazingira mazuri na yenye wateja wa kutosha
✅ Inafaa kwa biashara yoyote
✅ Nafasi nzuri kwa kuanzisha au kukuza biashara yako
💵 Service Charge: TZS 30,000/=
📞 Call: 0787093748
⚡ Wahi kuichukua sasa kabla haijapangishwa. Sehemu nzuri ya biashara kwa bei nafuu kama hii haikai muda mrefu sokoni!















