Duka linapangishwa Sinza Africa Sana, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
🏢 Fremu Inapangishwa – Sinza Africa Sana
💰 Bei: TSh 250,000 kwa mwezi
✅ Eneo zuri kwa biashara ndogo na za kati
✅ Mazingira salama na yenye watu wengi
✅ Rahisi kufikika
📞 Mawasiliano: 0678512666
💰 Service Charge: Wasiliana kwa maelezo zaidi.
Wahi sasa, imebaki chache!















