Duka linapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Aina
Duka
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
🔥FREM INAPANGISHWA 📍SINZA
Kwa mwezi 700,000/=
Malipo miezi 6
🏌🏻‍♂️Inafaa Kwa biashara mbalimbali /duka . Ofisi
Mazingira mazuri huduma karibu
Eneo zuri Kwa biashara
Service charge 30k
Kwa mawasiliano zaid piga 0685303121















