Duka linapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
Frem nzuri unaweza kufanya biashara yoyote nguo poch frem ipo mtaa mzuri inamlango wakioo bei laki 2 kwa mwezi kodi miezi 6 wakuwa awh ipo sinza kwa lemmy mtaa mzuri
Service charge yakuona nyumba ni shi 30000 pia nakodi yamwezi 1 wadalali
Call
0716938128
0760097834 whatsAp















