Duka linapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
🏢 FREMU INAPANGISHWA – SINZA 🏢
📍 Sinza – inatazama lami ya Shekilango Road
đź’° Bei: Tsh 450,000 kwa mwezi
âž• Service charge: Tsh 30,000
✨ Inafaa kwa biashara mbalimbali (duka, ofisi n.k)
🚶‍♂️ Eneo lenye muonekano mzuri na wateja wengi
🛣️ Ipo barabarani kabisa (access rahisi sana)
📞 Wasiliana: 0678512666














