Duka linapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
🏪 FREMU INAPANGISHWA – SINZA
📍 Eneo la Sinza
💰 Kodi: Tsh 700,000 kwa mwezi
✅ Fremu nzuri kwa biashara mbalimbali.
✅ Inafaa kwa duka, ofisi, saluni, pharmacy, showroom na biashara nyingine.
✅ Eneo lenye muonekano mzuri na wateja wengi.
📌 Service Charge: Tsh 30,000
📞 Wasiliana: 0678 512 666















