Villa ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
#VYUMBA_VIWILI
INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH
KODI TSHS MIL 1,300,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
KUBWA YA KIFAMILIA
YENYE:-
Vyumba Viwili vikubwa vya kulala #MASTA
#Sebule #dinning #Jiko zuri lenye makabati
Choo/Bafu vya ndani public
Gypsum Tiles Windows
Umeme upo wa Luku yake
Maji yapo ya bomba 24hrs
Cars Parking Space ipo kubwa
Nje Pavingblocks Garden
FencedVilla
Nione dalalimbezibeach _rahimu
Contact 0788002802
WhatsApp 0788783636
Karibuni sana wateja wangu ππ















