Tafuta

Viwanja (Commercial Plots) vinauzwa Kigamboni Ferry, Dar Es Salaam (400 acre)

video thumbnail
Sh. 160,000,000

Maelezo

🏢 ENEO BORA LA UWEKEZAJI LINAUZWA – KIGAMBONI FERRY, DAR ES SALAAM

Unatafuta eneo lenye fursa kubwa ya uwekezaji? Hili ndilo chaguo sahihi!

✅ Ukubwa: Ekari 400
✅ Limepimwa na lina Hati Safi ya Wizara ya Ardhi
✅ Lipo Kigamboni Ferry, karibu na Soko Kuu la Samaki la Kaulasa
✅ Miundombinu mizuri na eneo linaendelea kukua kwa kasi.

Linafaa kwa:
🏢 Apartment za kisasa
🏨 Lodge au Hoteli
⚽ Uwanja mkubwa wa michezo
🏬 Miradi mingine ya biashara yenye tija

Ni eneo lenye thamani kubwa na fursa ya kurudisha uwekezaji wako kwa muda mfupi kutokana na maendeleo yanayoendelea katika eneo hilo.

💰 Bei: TSh Milioni 160 tu (Mazungumzo yapo)

📞 Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi na kupanga kutembelea eneo.

💼 Service Charge: TSh 30,000

📱 Instagram: dalali_kigamboni_plots_forsale

#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidaressalaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment Kigamboni

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam