Tafuta

Viwanja vinauzwa Kiluvya Kwa Komba, Pwani sqm 400

video thumbnail
Kiluvya, Pwani
21 days ago
Sh. 15,000,000

Ukubwa

400 SQM

Barabara ya Karibu

1km — Morogoro Road

Huduma na Sifa

Maelezo

VIWANJA VINAUZWA KILUVYA KWA KOMBA

Umbali KM 1 kutoka Morogoro road boda 1000 kwa mguu dakika 15

Ukubwa sqm 400

Bei Mil. 15 kwa kila kiwanja

Huduma zote muhimu zipo hapo

Kupelekwa kuona viwanja 25,000/=

0684561351