Tafuta

Viwanja vinauzwa Mkundi Ufufuo Na Uzima, Morogoro sqm 500

video thumbnail
Mkundi, Morogoro
6 hours ago
Sh. 8,000,000

Ukubwa

500 SQM

Barabara ya Karibu

900m โ€” Dodoma Road

Awali

Inaruhusiwa

Maelezo

๐Š๐€๐‘๐ˆ๐๐” ๐Š๐€๐“๐ˆ๐Š๐€ ๐Œ๐‘๐€๐ƒ๐ˆ ๐–๐„๐“๐” ๐Œ๐๐˜๐€ ๐–๐€ ๐•๐ˆ๐–๐€๐๐‰๐€โ€“ ๐— ๐—ž๐—จ๐—ก๐——๐—œ ๐—จ๐—™๐—จ๐—™๐—จ๐—ข ๐—ก๐—” ๐—จ๐—ญ๐—œ๐— ๐—”, ๐— ๐—ข๐—ฅ๐—ข๐—š๐—ข๐—ฅ๐—ข

Tunakuunganisha na fursa ya kumiliki kiwanja katika eneo la Mkundi Ufufuo na Uzima, Morogoro. Mradi huu upo umbali wa ๐—บ๐—ถ๐˜๐—ฎ 900 ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฑ๐—ผ๐—ฑ๐—ผ๐—บ๐—ฎ. (Dodoma Road), katika eneo lililopimwa (surveyed area) lenye mazingira mazuri kwa makazi na uwekezaji.

Viwanja vinapatikana kwa ukubwa kuanzia ๐˜€๐—พ๐—บ 500 ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ ๐˜€๐—พ๐—บ 1,000, huku bei zikianzia ๐—ง๐—ฆ๐—ต.๐—บ๐—ถ๐—น๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ถ 8 ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ milioni 10, kulingana na ukubwa wa kiwanja.

Malipo yanapokelewa kwa fedha taslimu au kwa awamu ndani ya kipindi cha ๐—บ๐—ถ๐—ฒ๐˜‡๐—ถ 3 ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ 5. Baada ya kukamilisha malipo, utapatiwa nyaraka za umiliki wa kiwanja chako.

Eneo linafaa kwa ujenzi wa makazi na limezungukwa na huduma muhimu za kijamii kama shule, hospitali, masoko, pamoja na miundombinu ya maji na umeme.

๐—”๐—ฑ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฎ ๐—บ๐—ฟ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ: TSh 50,000/=

๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜‡๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ:

๐Ÿ“ž 0678-517158

๐Ÿ“ž 0785-517158

Matangazo mengine Mkundi, Morogoro

Viwanja vinauzwa Mkundi Ufufuo Na Uzima, Morogoro sqm 500

Sh. 8,000,000

For Sale500 sqmInstallment
Viwanja vinauzwa Mkundi, Morogoro sqm 500

Sh. 7,500,000

For Sale500 sqmInstallment
Kiwanja kinauzwa Mkundi Banana, Morogoro (1200 sqm)

Sh. 11,000,000

For Sale1,200 sqmNegotiable
Kiwanja kinauzwa Mkundi Banana, Morogoro (1200 sqm)

Sh. 11,000,000

For Sale1,200 sqmNegotiable
Kiwanja kinauzwa Mkundi, Morogoro

Sh. 150,000,000

For Sale
Kiwanja kinauzwa Mkundi, Morogoro

Sh. 150,000,000

For Sale
Kiwanja kinauzwa Mkundi, Morogoro (814 sqm)

Sh. 15,000,000

For Sale814 sqmNegotiable
Kiwanja kinauzwa Mkundi, Morogoro (814 sqm)

Sh. 15,000,000

For Sale814 sqmNegotiable