Tafuta

Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 18,000/sqm

Barabara ya Karibu

400m — Tarura

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Maelezo

✳️Wengi wamesubiri kwa hamu mradi wa viwanja mwasonga , mwasonga ni mji unaoendelea kwa kasi kigamboni, barabara nzuri sikuhizi rami mpaka stand na vituo vyote,
✳️Sisi MALENGO PROPERTY LTD Mara ya mwisho ni mwezi wa 11 mwaka jana kuwa na mradi mwasonga hiii na hatimae tumerudi tena baada ya kukamilisha hatua za upimaji wa viwanja vyetu na mteja ukija hapa hati ni uhakika na haraka kama kawaida yetu🙏

🏣🏢Site ni nzuri , bei nafuu , eneo tambalalee ni salama kwa makazi mana huduma muhimu zote zipo karibu na linafaa kwa uwekezaji wowote kwa 100%

NB; wahi ujichagulie mapande yako , epuka sold out , ujanja ni kuwekeza kwenye ardhi sikuhizi😁😁😁

MILIKI KIWANJA NILICHOPIMWA & HATI KWA KULIPA CASH AU KIDOGOKIDOGO MPAKA MIEZI 12 🕰️

ukinunua hapa kwetu
🔻unanunua leo , unajenga kesho
🔺KIWANJA KIMEPIMWA
🔻na tunakukabidhi HATI YA WIZARA✅ BUREEE
🔶KIWANJA NI HATI👌

💸💰BEI KWA SQM NI
18,000/= CASH NA 22,000/= KWA MALIPO YA AWAMU ( UNALIPA KIDOGOKIDOGO) MPAKA MWAKA NA VIWANJA VINA UKUBWA TOFAUTI TOFAUTI

❇️Mradi upo katikati ya makazi ya watu , majilani wapo wengi tayari

HUDUMA ZOTE MUHIMU ZIPO
💡 UMEME
🚰 MAJI
🛣️ BARABARA NZURI SANA
-
MRADI UPO
📍 MWASONGA , MKAMBA KIGAMBONI
🛣️MRADI UNAGUSA BARABARA YA TARURA
🚗KM 25 KUTOKA FERRY AU DARAJANI
🏨 MITA 400 TOKA ZAHANATI ILIPO NA SHULE

🚗🚕siku za KWENDA SITE ni kila siku na muda wowote utakapofika ofisini kwetu 🤝

WASILIANA NASI LEO
MAONI NA USHAURI MAMBO YOTE YA ARHI TUONE SISI
@malengo_property_ltd
🏡Let us guide you home!
📞 0654319483 / 0754047231
Ofisi zetu zipo 📍 AB plaza floor no 1 , Maweni - Kisota , kigamboni opposite kisota & aboud jumbe secondary school
📧info@malengoproperty.co.tz
🌐www.malengoproperty.co.tz

Matangazo yanayofanana Mwasonga, Dar es Salaam

Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam sqm 400

Sh. 4,800,000

For Sale400 sqmInstallment
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Hati

  • Umeme

Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam sqm 400

Sh. 4,800,000

For Sale400 sqmInstallment
  • Hati

  • Umeme

  • Maji

Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam sqm 400

Sh. 4,800,000

For Sale400 sqmInstallment
  • Umeme

  • Maji

  • Hati

Shamba linauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam acre 3.5

Sh. 90,000,000

For Sale3.5 acreNegotiable
  • Ardhi Iliyopimwa

Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam sqm 400

Sh. 18,000/sqm

For Sale400 sqmInstallment
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Barabara ya Lami

Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam sqm 400

Sh. 25,000/sqm

For Sale400 sqm
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Hati

Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam

Sh. 15,000/sqm

For SaleInstallment
  • Umeme

  • Karibu na Shule

  • Karibu na Hospitali

Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam sqm 400

Sh. 4,800,000

For Sale400 sqmInstallment
  • Umeme

  • Maji

  • Hati

Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam sqm 400

Sh. 4,800,000

For Sale400 sqmInstallment
  • Umeme

  • Maji

  • Hati

Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam

Sh. 15,000/sqm

For SaleNegotiableInstallment
  • Umeme

  • Karibu na Shule

  • Karibu na Hospitali

Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam sqm 400

Sh. 4,800,000

For Sale400 sqmInstallment
  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Umeme

Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam sqm 400

Sh. 4,800,000

For Sale400 sqmInstallment
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Hati

  • Umeme

Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam sqm 400

Sh. 4,800,000

For Sale400 sqmInstallment
  • Umeme

  • Maji

  • Site Visit Bure

Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam sqm 400

Sh. 18,000/sqm

For Sale400 sqmInstallment
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Barabara ya Lami

Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam sqm 372

Sh. 18,000/sqm

For Sale372 sqmInstallment
  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Shule