1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE dk5
SIFA ZAKE
chumba kimoja cha kulala
Master bedroom
Full tilles, gypsum & aluminum
Paving block
Parking yakutosha
dipoziti laki
maji na usafi kwa mwezi 15000x6 =
90000
Umeme wawili inajitegemea na Maji DAWASA Yanaflow Ndani
Apartment zipo nne Ndani ya fence Parking Ipo
KODI YAKE Tsh. 160000 Malipo Miezi Sita
Service Charge 15,000/-
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.