Farms for sale at Fukayosi, Pwani


🔥 MASHAMBA BEI NAFUU FUKAYOSI BAGAMOYO🔥
Ni kuanzia ukubwa wa hekari moja na kuendelea,yanauzwa na Property Investors Company (PIC)
▶️Umbali wa Kilometers 5 tu kutoka Barabara kuu inayoenda Msata
▶️ Mashamba yapo karibu na shule ya masista
▶️Bei Kwa hekari ni million 1.5 tu Kwa cash
▶️Lipia kidogo kidogo mpaka unamaliza malipo yako
▶️Udongo unakubali mazao mbali mbali ya kilimo Cha Biashara na chakula kama nanasi, mihogo, maembe, machungwa, alizeti, mahindi
▶️Karibu ofisini kwetu zilizopo nyuma ya Ubungo plaza, Katambe Street opposite na Kanisa la Anglikana tukupeleke site
▶️Tuna miradi ya viwanja maeneo ya Vigwaza Kwala, Kerege Bagamoyo, Mbutu Kigamboni, Bunju, Madale Mivumoni, Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha
▶️ Wasiliana nasi kupitia Call/SMS/Whatsapp:0686601716