Plots for sale at Fukayosi, Pwani


ENEO LENYE VIWANJA 90 SAWA NA SQM 40,225 VINAUZWA
Karibu kwenye Mradi wa Viwanja Fukayosi, Bagamoyo mkoa wa Pwani. Mradi huu upo kwenye eneo la ukubwa wa wa zaidi ya eka 15 lenye viwanja 90 vilivyopimwa kwa matumizi ya makazi na miundombinu iliyopangwa vizuri. Eneo hili linauzwa lote kwa pamoja na sio kwa mfumo wa kiwanja kimoja kimoja.
✅ ENEO LILIPO
👉Mahali: Fukayosi
👉Kata: Fukayosi
🏘️Wilaya: Bagamoyo
🏛️Mkoa: Pwani,Tanzania
✅ UMBALI:
📍 Kutoka Bagamoyo Mjini: Km 26
🏛️ Kutoka Dar : Km 54
✈️ Kutoka kwenye Lami: Mita 500
🛣️ Kutoka Fukayosi Centre: Km 02
✅ KUHUSU ENEO
📌 Eneo Limepimwa: 2025
📜 Nyaraka: Approved Survey Plan
🏗️ Matumizi: Makazi
✅ UKUBWA WA ENEO
📐 56,658 SQM (Viwanja + Huduma)
📐 Viwanja 40,225 SQM
🏠 Idadi ya Viwanja: 90
✅ JINSI YA KUNUNUA
📌 Eneo linauzwa lote kwa pamoja
👉Makazi Tshs. 165 Million
🏷️Bei Maelewano [📞Tupigie ]
💰Malipo: Awamu Moja
☎️ MAWASILIANO
Kwa maelezo zaidi, kutembelea eneo, au kutoa ofa yako, tafadhali wasiliana nasi kupitia:
📲Simu | WhatsApp | SMS
📞+ 255 750 100 100
➖➖➖➖➖➖➖➖
🧍♀️ Mtag rafiki yako aone
🫂 Share hii post na jamaa
💾 Hifadhi post hii
👍 Like | Follow | Comment
➖➖➖➖➖➖➖➖
👇Tu-follow Instagram | Facebook
primespaceafrica
primespaceafrica
primespaceafrica
primespaceafrica
- - - - - - - — - - — - - -
#viwanja #kiwanja #plot #Mahomanyika #Dodoma #MsalatoAirport #Mtumba #Plotforsale #DodomaPlots #Landforsale #MahomanyikaPlots #HillsviewProject #TanzaniaProperty #LandInvestment #PlotsForSale #LandDodoma #BuyLand #DarEsSalaam #ArushaRealEstate #MbeyaLandDeals #tiktok #Tanzania #Instagram #Facebook #InvestinDodoma #PrimeLandTanzania #Primespace #Primespaceafrica #InvestInTanzania.