House for Rent at Fukayosi, Pwani


➡️Mradi upo Fukayosi, Bagamoyo
➡️Umbali ni km 2 kutoka barabara ya lami (BAGAMOYO-MSATA ROAD)
➡️Mradi una viwanja vyenye ukubwa kuanzia sqm 504, Bei ni Tzs 3,800/= tu kwa sqm 1 kwa Viwanja vya Makazi, na Tzs 4,500/= kwa viwanja vya Makazi na Biashara.
➡️Tunapokea Malipo kwa MKUPUO(Cash) na malipo ya awamu(kuanzia miezi Mitatu Hadi miezi 6).
➡️ Huduma zote za kijamii zipo karibu na mradi i.e MAJI, UMEME,BARABARA, HOSPITALI NA SHULE. Eneo linafikika kwa urahisi mno.
➡️ Viwanja vimepimwa, Vina mawe ya wizara, na mteja atapata HATIMILIKI baada ya kukamilisha malipo yote. Kupelekwa site kuona mradi ni kila Jumapili
➡️ TUNAPATIKANA; UBUNGO EXTERNAL, MTAA WA MSHIKAMANO , NYUMBA No. 14.
➡️ Unaweza kuwasiliana nasi kwa Call/Whatsap: 0698 718 260