House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NI APARTMENT TATU TOFAUTI ZINAPANGISHWA
##################
APARTMENT ZIPO UBUNGO MAKOKA MWISHO ZINAPOISHIA BAJAJI ZA KUTOKA UBUNGO RIVA SIDE
###############
UMBALI NI KM 2.5 USAFIRI UPO BAJAJI 700 UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 5 MPKA 7 KWA MIGUU KUFIKA NYUMBAN
################
SIFA ZAKE
########
(1) NI CHUMBA MASTER KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
KODI NI 180,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
################
(2) NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA A A
KODI NI 120,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
##################
(3) NI CHUMBA KIMOJA SINGEL KIKUBWA SANAAA
KODI NI ELIFU 70,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
################
APARTMENT ZINA TILLES GYPSUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 NDAN YA FENS LUKU SABMITA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW CHOONI VIZURI
################
SERVICHAJ ELFU 15
DALALI SILAA MWEZI MMOJA
CONTACT
0679997610
0658884015
Msigwa
______