House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa ipo mbagala maji matitu maeneo ya shule ya secondary, bei milioni 130 maongezi yapo kidogo. Nyumba ni mpya kabisa haijakaliwa na mtu yeyote yule, ina rooms 3 vyakulala sitting room, dinning room, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, jiko lipo kubwa kabisa na lakisasa, tiliz, madilisha vioo, maji yapo ndani yanatoka, mafeni juu panga boy yapo, full heater vyooni ipo, na fensi ya parking ipo yenye security wiring juu, pamoja na sehemu ya garden ipo na paving blocks chini zpo. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 0719250426.