House/Apartment for sale at Keko, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA NA MWENYEWE. IPO KEKO TCC KARIBU NA KONA YA HUWANJA WA TAIFA.... NI MTAA MZURI SANA PANAFAA KWA APARTMENT AU HOSTEL. MAANA NI KARIBU SANA NA VYUO. DUCE, TIA, DIPROMASIA, IFM, VETA. NK. KWAHIYO NI SEHEM POTENTIAL FOR BUSINESS. MWENYEWE ANATAKA
LOC : KEKO TCC
AREA :SQMT 420
PRICE : MIL 220
UMILIKI :HATI DEED
Contact call 0712531657#0789731695