Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
Nyumba ipo kigamboni muongozo Jiji la dar es salaam wilaya kigamboni
Ina uzwa hii nyumba kwa bei poa sana tsh million (130) tu
Ukubwa wa eneo square miter (1000)
Ina vyumba vnne vya kulala vyumba viwili ni masters bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina kisima cha maji na umeme upo wa luku
Nyumba nzuri sana ipo miter chache tu kutoka bara bara kuu ya lami
Njoo uone live mdau wangu ukiwa sirious uwezi kuiyacha kabisa nyumba nzuri sana
Nipigie cm au nichek Whatsapp 0759203175
0652618143