Farm for sale at Mkuranga, Pwani
Kilimo cha nazi kina fursa ya biashara, kinaweza kuchangia nakisi ya kitaifa ya mafuta ya kupikia , nazi ina uwezo wa kuchangia takriban asilimia 80 ya mafuta ya kula na kuziba pengo la uagizaji wake kutoka nje nchi.
Kwa sasa nchi huagiza tui la nazi kutoka Thailand na Indonesia kwa sababu hakuna uzalishaji wa kutosha kuhudumia viwanda vya ndani.
Zao la nazi ni kitegauchumi kikubwa kwa sababu unaweza kurithisha kizazi chako kwa mfano mkulima akiwa na umri wa miaka 25 baada ya miaka 70 unaweza kuwaachia watoto wako kuliendeleza minazi huanza kutoa mavuno ikifikisha kati ya umri wa miaka 5 na 6.
Uzalishaji wa kiuchumi hudumu kwa miaka 70
Miliki Viunga vya minazi
Uongeze hadhi yako
Minazi huishi kwa zaidi ya umri wa wastani wa Mtanzania ,Mnazi ni Mti wa Uzima,
Mnazi huzaa nazi kila mwezi
Kilimo cha minazi ni pensheni kwa wakulima.
3 mln unapata shamba hekari 1 na minazi 40 ndani
Utavuna baada ya miaka 5 Uzalishaji wa kiuchumi hudumu hadi miaka 70
Mradi upo wilaya Mkuranga mkoa Pwani
Miliki viunga vya minazi
Uongeze hadhi yako, mnazi ni mti wa uzima
lipa 100000 kila mwezi kwa miezi 24
Heka 1 inakuwa na minazi 40
Kilimo cha minazi ni pensheni kwa wakulima
0785559755