Shamba linauzwa Mkuranga, Pwani

 media -1
media -1
Sh. 100,000 per month
Installment Allowed
Yes
Installment Allowed
Agriculture

Kilimo cha nazi kina fursa ya biashara, kinaweza kuchangia nakisi ya kitaifa ya mafuta ya kupikia , nazi ina uwezo wa kuchangia takriban asilimia 80 ya mafuta ya kula na kuziba pengo la uagizaji wake kutoka nje nchi.

Kwa sasa nchi huagiza tui la nazi kutoka Thailand na Indonesia kwa sababu hakuna uzalishaji wa kutosha kuhudumia viwanda vya ndani.
Zao la nazi ni kitegauchumi kikubwa kwa sababu unaweza kurithisha kizazi chako kwa mfano mkulima akiwa na umri wa miaka 25 baada ya miaka 70 unaweza kuwaachia watoto wako kuliendeleza minazi huanza kutoa mavuno ikifikisha kati ya umri wa miaka 5 na 6.
Uzalishaji wa kiuchumi hudumu kwa miaka 70

Miliki Viunga vya minazi
Uongeze hadhi yako
Minazi huishi kwa zaidi ya umri wa wastani wa Mtanzania ,Mnazi ni Mti wa Uzima,
Mnazi huzaa nazi kila mwezi
Kilimo cha minazi ni pensheni kwa wakulima.

3 mln unapata shamba hekari 1 na minazi 40 ndani
Utavuna baada ya miaka 5 Uzalishaji wa kiuchumi hudumu hadi miaka 70

Mradi upo wilaya Mkuranga mkoa Pwani
Miliki viunga vya minazi
Uongeze hadhi yako, mnazi ni mti wa uzima
lipa 100000 kila mwezi kwa miezi 24
Heka 1 inakuwa na minazi 40

Kilimo cha minazi ni pensheni kwa wakulima
0785559755

LUX SMART VILLAGE INVESTMENT
luxsmartvillage
LUX SMART VILLAGE INVESTMENT

Similar items by location

Kiwanja kinauzwa Mkuranga, Pwani

Sh. 700,000,000

GODAUNI LINAUZWA BEI MILIONI 700MAHALI: MKURANGA MKOA WA PWANI πŸ“±0675169664πŸ“±0687738194πŸ‘‰KIWANJA NI ...

Kiwanja kinauzwa Mkuranga, Pwani

Sh. 700,000,000

GODAUNI LINAUZWA BEI MILIONI 700MAHALI: MKURANGA MKOA WA PWANI πŸ“±0675169664πŸ“±0687738194πŸ‘‰KIWANJA NI ...

Kiwanja kinauzwa Mkuranga, Pwani

Sh. 900,000

Wadau wa mkuranga mpooooo!! bado tunaendelea tulipoishia kwa bei ya Tsh.900,000 tuπŸ”₯πŸ”₯Na malipo yake...

Kiwanja kinauzwa Mkuranga, Pwani

Sh. 1,000,000,000

Minja real estate & Car Broker introduce:-Plot for sale Mkuranga Dundini.Left hand side from Mbagala...

Kiwanja kinauzwa Mkuranga, Pwani

Sh. 1,000,000,000

Minja real estate & Car Broker introduce:-Plot for sale Mkuranga Dundini.Left hand side from Mbagala...

Shamba linauzwa Mkuranga, Pwani
  • Agriculture

Sh. 12,000,000

SHAMBA LINAUZWAHekari 2GARI INAFIKA HADI SHAMBANIKm 3 kutoka barabara ya lamiLina minazi mingi mno, ...

Mashamba yanauzwa Mkuranga, Pwani
  • Agriculture
  • Project

Sh. 100,000 per acre

Jichagulie mwenyewe ukipendachoπŸ’―πŸ’―Sisi kazi yetu kuhakikisha kila Mtanzania anamiliki kiwanja kilic...

Viwanja vinauzwa Mkuranga, Pwani
  • By Installment
  • Project

Sh. 900,000

Mkuraranga hiyo inapepea kama upepo watu wanazidi kumiminika tu πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ Mradi upo Mkuranga mbezi-Be...

Viwanja vinauzwa Mkuranga, Pwani
  • Project

Sh. 900,000

π’πˆπ“π„ π•πˆπ’πˆπ“ πŒπŠπ”π‘π€ππ†π€ π‰π”πŒπ€ππˆπ‹πˆ π˜π€ π–πˆπŠπˆ πˆπ‹πˆπ˜πŽππˆπ“π€Safari Nyingin...

Viwanja vinauzwa Mkuranga, Pwani
  • Project

Sh. 30,000

ENEO LA KIWANDA (INDUSTRIAL PLOT) LINAUZWA BINAFSILOC : MKURANGA MJINI PWANI KISIJU ROADAREA : HEKA ...