Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


Nyumba ina uzwa tsh million 30 ipo mbagala saku ilulu jiji la dar es salaam wilaya temeke 0717943807 - 0765253501 Whtsp
Eneo kubwa square miter 400
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa upimaji shilikish Usha fanyika
Njoo uone live mdau wangu ukiwa sirious uwezi kuiyacha ina vyumba vitatu vya kulala chumba kimoja ni masters bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina kisima cha maji na umeme upo wa luku nyumba nzuri sana
Ukitaji kuiyona nipigie cm au nichek Whatsapp
0717943807 - - 0765253501 Whtsp