Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER KM 1
KUTOKA STEND STOP OVER PIKIPIKI ELF 1
KUTEMBEA DK 15
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMME LIPIYA NYUMBA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba ina vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom NA pabrck ipo ndani
Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji Hii nyumba ipo ndani ya fensi Mazingira salama sana kwa watoto
KODI YA PANGO
________________
Kodi ni laki tatu kwa mwezi
(300,000)
X 6
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087