Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 270,000/= X6
LOCTION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 BARABARA NI NZURI KWA AINA YOTE YA MAGARI
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000/= KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
_____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
# ELECTRONIC FENCE PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ๐ซ
NB: INAKUWA WAZI LEO JIONI
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.