Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


*SINGLE ROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO (DSM)๐น๐ฟ
============================
*CHUMBA KIMOJA KIKUBWA SANA, PUBLIC TOILET, MAJI DAWASA YAPO NJE 24HRS
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE AKUNA, LUKU YA KUSHEA, WAWILI TUU.
*NYUMBA IKO UMBALI WA DAKIKA.13 KWA KUTEMBEA KWA MGUU KUTOKA STENDI
USAFIRI UPO NI BAJAJI TAXS DALADALA TSZ 500/=
*KODI 60,000/= KWA MWEZI
____________________________________
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347