Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 300,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 2 UMEFIKA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER & PABLICK
#SEBULE NA JIKO LA MAKABATI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK 🚫
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347