Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimanga, Dar Es Salaam







:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ 250k x 3
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: EXTERNAL JESHINI NJIA YA KIMANGA
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 7 Kutoka Kwenye Lami Barabara ya Jeshini
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Chumba Kimoja Cha Kulala Kikubwa
โข Jiko Kubwa
โข Choo Kizuri Ndani
Apartment zipo 3 ndani Kwenye Eneo Moja Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 250,000/- Malipo Miezi 3
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp