Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿#APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe, Dakika 7 Kutembea toka Morogoro Main Road.
#SIFAZAKE
💧Chumba kimoja master
💧Sebule
💧Jiko linawekwa Makabati
💧Choo cha public nje
💧Umeme LUKU Inajitegemea & Maji yanaflow ndani
💧Fensi na Parking Ipo
♦️Kodi Tsh 300,000/=×6(Miezi Sita)
♦️Malipo ya Dalali Tsh 300,000/=
♦️Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊