Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
VYUMBA 2 VYA KULALA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
ZIKO 5 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
NYUMBA IKO UMBALI WA KM1, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
KODI 250,000/= KWA MWEZI
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0742260844
0657384670