Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM1 KUTOKA LAMI BODA BUKU. INAKUWA WAZI TAR 27.1.2025
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LA KISASA
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 400,000/=×6
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747