Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI 300,000 KWA MWEZI
.
LOCATION: KIMARA SUKA UMBALI WA DK 5 MPKA 8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
.
NI APARTMENT NZURI SANA
.
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO ZURI NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKE MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI
.
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347