Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
MPYA MPYA MPYA KABISA INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAI NI KILOMETA 2
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJ DALADALA SH 5OO
SOMA MAELEZO KWA UMAKINI HAPA KUNA AINA TATU TOFAUTI
( A )VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI
KODI NI TZS 600,000/=×6
( B )CHUMBA KIMOJA KIKUBWA CHA KULALA SEBULE KUBWA NA PUBLIC TOILET NZUR YA NDANI
KODI NI TZS 300,000/=×6
[ C ] CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANA NA JIKO LAKE KUBWA LA KISASA
KODI NI TZS 200,000/=×6
NYUMBA ZOTE ZINAFUNGWA MAKABATI JIKONI
UMEME NA MAJI ZINAJITEGEMEA NA MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI
NB:
ZITAKUA TAYARI KUHAMIA TAREHE 20.01.2025 KUJA KUONA NA KULIPIA NI RUKSA
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747