Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam





HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 16/03/2025 KUONA MALIPO RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
#JIKO SIO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LICATION KIMARA BUCHA DK 4-5 KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Me.