Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUMALIZIA, BEI YA-DHARULA,TSHS.280 MILIONI TU, MBAGALA-CHAMAZI.
Hapa kuna Nyumba 2 za Ghorofa.
Ni IMARA na zipo ndani ya Fensi.
Nyumba kubwa:
Ina jumla ya vyumba vya kulala 6 (3 kila Floor)
Sebule mbili, Jiko na Choo cha Familia ndani.
Nyumba ya Pili ina vyumba 2 vya kulala na
Jiko, Kila Chumba na Choo ndani chake pia.
Vilevile hapa kuna Fremu/Maduka ya Biashara.
Nyumba Ina Swiming Pool mbili,
Garden, Sehemu ya Fulia nguo,
Bustani na Parking pia ipo yakutosha.
Kiwanja SQM.970,
KIMEPIMWA.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_________________