Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent
Location Kimara Baruti Dakika 8 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 350000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
======≠≠========
Room 2 za Kulala hakuna Master Bedroom
Sitting room Kubwa sana
Dining room Kubwa
Jiko Kubwa sana
Store
Public toilet ndani
Bafu
Luku
Maji Dawasa ndani mita yake Tank Lita 2000 juu lako
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Garden
Good environment
0712500602
0755336565