Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT TU NDANI YA FENCE MOJA ZINAPANGISHWA
LOCATION
KIMARA STOP OVER UMBALI WA DK 15 KWA MIGUU . PIKPK 1000 MPK GETINI. BARABARA NZURI.
SIFA
Vyumba 2 vya kulala
(Hakuna Master)
Seble Kubwa
Jiko kubwa(openi kitchen)
Public toilet
Maji Ndani
Luku yako
Tiles
Gypsum
Camera
Mlinzi kampuni
Ndani ya fence
Parking space kubwa
BEI
Tsh. 350,000/= Kwa MWEZI. Ilipwe miezi 6
Note** YA JUU NDIYO IPO WAZI.
Wasiliana nasi;
0716834095, 0684217177