Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







——
Apartment house for Rent Mpyaa Mpyaa za Kisasa nzuri
Location Kimara Stop Over Km 2.5 from Road Usafiri ni Bajaji na Daladala Boda
Kodi 400,000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20,000 Kuona Nyumba
Chini ipo Moja 350000x6 Kwa Mwezi Dalali mwezi 1 Service Charge 200,00 Kuona nyumba
Sifa za Nyumba
=============
Room 2 Moja ni Master Bedroom
Sitting Room Kubwa
Jiko Open Kitchen with Cabinet
Public Toilet ndani
Luku yake
A/C Sebule ina wekwa
Hita Maji Moto
Maji Dawasa ndani mita yako
Parking space fancy
Pavn Block
Apartment zipo 4 juu 2 chini 2 zote zipo wazi
Public Toilet za nje Kwa ajili ya Wageni
Piga sm mapema
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343