Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HIZI NYUMBA ZIPO TATU TU KWENYE FENSI ZIKO MBALI MBALI MOJA KUBWA YA FAMILIA IKO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA MAKABATI KOTE VYUMBANI
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI
#DAINING TABLE
#STORE
#CHOO NA BAFU VYA FAMILIA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#RISERV TANK MBILI
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA