Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA MWISHO KM 1.3 KUTOKA LAMI
VYUMBA 3 VYA KULALA 2 MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
DINNING ROOM
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET
#๐๐ข๐๐ 600,000/= ร 6
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000/=
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300